Uteuzi wa Chale book by Asumpta Matei Uteuzi wa Chale. Inazimulia kisa cha kusisimua kuhusu Chale, kijana anayejinyanyua kuvitambua vipawa alivyojaliwa na kuvikuza kwa manufaa ya jamii yake, licha ya vikwazo vinavyomkabili. Also, hadithi hii inampa msomaji fursa ya kujitambulisha na mazingira yake na kumpa stadi za kukabiliana na hali zinazomkumba.
Reviews
There are no reviews yet.