Shingo ya Mbunge na Hadithi Nyingine by K.W Wamitila ni mkusnyiko bulibuli wa hadithi zilizoandikwa na watunzi wanaoonyesha ustadi wa kuumudu utanzu wenyewe pamoja na ukwasi wa lugha ya kiswahili. Ni mkusanyiko unaotanda mwanda mpana wa kimaudhui kuanzia ukoloni na taathira zake katika jamii hadi siasa ya mfumo wa soko huria. Huu ni mkusanyiko unaoleta pamoja watunzi wa hadithi fupi kutoka Afrika mashariki, wanaoinukia katika fani na wale waliotopea na kubobea katika uga wa utanzu huu.
- For Inquiries, Call /WhatsApp 0703292 722
- Email: fastlanebookstore@gmail.com
Reviews
There are no reviews yet.