Shetani Msalabani by Ngugi wa Thiongo ni hadithi za wazalendo wanne: Wariinga, msichana aliyenyanyaswa sana na vibaraka wa mabeberu ; wangari mkulima mdogo aliyetaabishwa na mabepari; Muturi, mfanyikazi mwerevu; na Gatuiria, kijana aliyeelimika sana. Wote wanasafiri kwa matatu ya jambazi mmoja aliyeitwa mwauraandu ambaye alikuwa ameajiriwa na mabepari kutaabisha na kunyanyasa jamii. So, Wote walikuwa wanaelekea Ilmorog kujionea mashindano ya wizi na unyanganyi wa kisiasa ili wavikwe taji na kuteuliwa kuwa wanyapara wa mali ya wabeberu nchini … wakati Walipokuwa katika hekaheka za kujipata wakafumaniwa na wazalendo wa Ilmorog pamoja na wananchi wengine mashujaa…
Hadithi, hii imeandikwa kwa umahiri mkubwa; imejaribu kuzingumzia jinsi shetani anavyoweza kufukuziliwa mbali asiendelee kudhihiri mbinu zake za kutesa na kunyanyasa jamii humu duniani. Itakuchekesha, uvunjike mabvu na kutafakari.
You may also read
Reviews
There are no reviews yet.