Sauti ya Umma by Okiya Omtata inatufafanulia maisha ya Nasirumbi anakumbana na upinzani na ghadabu ya Nguvu za rungu la dola kwa kupinga unyakuzi wa msitu wa simbi. So, ukiongozwa na Bosi, utawala wa kisiasa unafanya kila uwezalo kutimiza lengo lao la tamaa- kunyakua msitu wa simbi. Hata hivyo, utawala huo unalzimika kupambana na ukakamavu wa Nasirumbi, ambao ni jinamizi kwa Bosi na vibaraka wake
- For Inquiries, Call /WhatsApp 0703292 722
- Email: fastlanebookstore@gmail.com
Reviews
There are no reviews yet.