Fastlane-books-logo
Shopping Cart

Nasikia Sauti ya Mama by Ken Walibora ni miongoni mwa waandishi arifu na ana umaarufu zaidi wa fasihi ya kiswahili waliowahi kuibuka katika Afrika mashariki na ya kati. Mbinu ya kalamu yake ina mvuto mkubwa na uzuri wa kisanaa wa aina yake. So, ameziandika tanzu mabilmbali za fasihi kama vile Riwaya, ushairi na tamthilia. Hata hivyo Nasikia Sauti ya mama ndiyo kazi yake ya kwanza inayostahili kuitwa tawasifu. Tawasifu inayoangazia kipande kidogo halisi yake mwenyewe na wala sio wahusika wake ambao ni zao la ubunifu.

Also, Naskia sauti ya mama ndiyo kazi yake ya usimulizi wenye uwazi, ujasiri na umbuji. Uzuri wa kisanaa wa tawasifu hii unashadidia ukweli usiokanushika kwamba mwandishi huyu ,ataendelea kutamba kwa miaka na mikaka katika medani ya fasihi ya Kiswahili.

You may also like

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Nasikia Sauti ya Mama by Ken Walibora”
Open chat
WhatsApp/Call
Naskia Sauti ya Mama by Ken Walibora
Nasikia Sauti ya Mama by Ken Walibora
KSh 599.00
Rated 0 out of 5

In stock