Msimu wa Vipepeo by K.W. Wamitila ni riwaya inayosimulia hadothi ya wahusika ambao wamefanya maamuzi yanaathiri mkondo wa maisha yao kwa njia tofauti. kwanza kuna waziri mkurutu anayefurahi kuipanda ngazi ya maisha mapya katika awamu ya siasa ya utandawazi na mfumo wa soko huria. yupo Fabio Mkalla, mwanasheria mkuu, ambaye anaandamwa na asichokijua. kwa upande mwingine kuna Julia , Kanda na Ndumi wanaojikuta kwenye njia panda ya mkaso wa ‘Kipepeo’wapo melissa na Miranda, wanawake wanaojikuta katika jamii yenye mfumo unaokandamiza lakini wasiotaka kutiwa pingu na utamaduni na historia.
Stadi za utunzi alizonazo mwandishi zinamwezsha kusimulia visa kadha vinavyoingiliana na kuunda taswira pana ya maisha ya kijamii… Anawanasa wasomaji hadi ukurasa wa mwisho… katika riwaya hii ambayo inaweza kuangaliwa kama sisimuzi ya Kisaikolojia.
Additionally check from [Focus publisher]
Reviews
There are no reviews yet.