Fastlane-books-logo
Shopping Cart

Mimba ingali mimba na hadithi nyingine by Owen McOnyango ni mkusanyo wa hadithi fupi uliofanywa mkubwa. Diwani hii imeleta pamoja hadothi fupi za aina tofauti kwa kuteua hadithi zenye mitindo na miundo mbalimbali. ina maudhui yanayogusia matamanio shida, fikra, falsafa kuhusu maisha, na vipengele vingi vya mazingira yanayoikumba jamii kupitia wahusika waliosawiriwa kwenye hadithi fupi zilizoko katika Mimba ingali mimba na hadithi nyingine, sherehe na milio ya waja inasimuliwa na waandishi stadi ambao wamenoa kalamu zao ili kuwasiliana na wasomaji kupitia nyanja hii ya fasihi.

You may also like

Owen MCOnyango ambaye ameuhariri mkusnayo huu ni mhadhiri katika Idara ya Isimu, Lugha na Fasihi katika Chuo Kikuu cha maseno, Amefunza Kiswahili kwa miaka mingi katika Chuo hicho. Aidha, amefanya utafiti wa kina juu ya utanzu wa hadithi fupi na vilevile tanzu nyingine za fasihi ya Kiswahili. mbali na Kuandika makala ya Kitaaluma MCOnyago hutunga pia mashairi.

 

[Focus]

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Mimba Ingali Mimba na Hadithi Nyingine”
Open chat
WhatsApp
Mimba Ingali Mimba na Hadithi Nyingine
Mimba Ingali Mimba na Hadithi Nyingine
KSh 599.00
Rated 0 out of 5

In stock