KLB Kiswahili Mazoezi ya Lugha Gredi 1 kinatumia mbinu za ujifunzaji ambazo zimefanyiwa utafiti. Mbinu hizi zitamsaidia mwanafunzi kukuza stadi za lugha ambazo hatimaye husaidia ukuzaji wa umilisi wa kimsingi, ukuzaji wa maadili na utekelezaji wa shughuli za kijamii pamoja na kuzingatia masuala mtambuko. Masuala makuu yaliyo katika kitabu hiki yametumiwa kama chombo cha kukuza stadi nne za lugha: Kusikiliza, Kuzungumza, Kusoma na Kuandika.
- For Inquiries, Call /WhatsApp 0703292 722
- Email: fastlanebookstore@gmail.com
– Langat Brian
Great book