Kigogo by Pauline Kea inamulika baadhi ya masuala yanayoibuka katika nchi zinazoendelea za Bara la Afrika. Huku wakazi wa Sagamoyo wakijiandaa kuadhimisha siku ya uhuru utakaosherehekewa kwa mwezi mmoja na kujivunia `maendeleo makuu; Soko la Chapakazi, ambalo ndilo tegemeo la wengi jimboni, linafungwa ghafla. Je, viongozi wamelifunga kwa nia gani? Wakazi wa Sagamoyo wanaolitegemea kujipa riziki watafanya nini? Tamthilia hii inatoa picha halisi ya nchi inayojivunia miaka mingi ya uhuru. Je, uhuru huo unamfaidi nani?
- For Inquiries, Call /WhatsApp 0703292 722
- Email: fastlanebookstore@gmail.com
– Bishmark Kiplangat
Tamthilia hii ya Kigogo ni nzuri kwani huibua matatizo ambayo wanajamii hupitia chini ya viongozi wabaya ambao wako na tamaa ya uongozi na kutumia Mali ya wananchi kwa manufaa Yao.
– admin
Thank you for reviewing this books