Like us on Facebook and receive a 20% discount
Subscribe our newsletter and get unlimited profits
Be our regular customer to get personalized gifts
Like us on Facebook and receive a 20% discount
Subscribe our newsletter and get Book discounts
Be our regular customer to get personalized gifts

We ship packages within 24 hours of ordering

Free Shipping over Ksh 5000

Kifunganjia by Daniel Okello

KSh 450.00
Need Help Call/Whatsapp 0703292722

Attributes

Kifunganjia ni tamthilia inayotoa taswira halisi ya masuala mbalimbali yanayozuia au kudidimiza harakati za maendeleo na ufanisi katika nchi zinazoendelea kukua kiuchumi.

You may also like

You may also like…

    You may also like…

      Kifunganjia by Daniel Okello; Kifunganjia ni tamthilia inayotoa taswira halisi ya masuala mbalimbali yanayozuia au kudidimiza harakati za maendeleo na ufanisi katika nchi zinazoendelea kukua kiuchumi.

      Kijiji cha Bakunja kinategemea kilimo. Wakulima wanatarajiwa kuhifadhi sehemu ya nafaka katika ghala la kijiji kwa ajili ya matumizi ya baadaye hasa msimu wa ukame. Hata hivyo, nafaka wanazoweka ghalani hutoweka. Ghala halijai. Rajua, kijana ambaye anaongozwa na msukumo wa kuleta mabadiliko mazuri katika jamii kupitia uanahabari na uigizaji, anaamua kubomoa ua unaolizingira ghala ili wanakijiji wajionee kinachojiri ghalani. Wizi uliokithiri ghalani na uwepo wa panya na mchwa unadhihirika.

      You may also like

      Huku hays yakijiri, wasimamizi wa ghala na wapinzani wao wanakula na kustarehe. Hali hii inafanya Baraza la Wazee kuchukua hatua ya kuwatuma vijana wa kijijini maabarani ili washiriki katika utafiti wa kuvumbua dawa za kuulia panya na mchwa waharibifu. Rajua kwa upande wake anaendeleza juhudi za kuleta mabadiliko katika usimamizi wa ghala. Anawania wadhifa wa kulisimamia ghala ill wanakijiji wapate haki. Je, juhudi za Rajua zitaz.aa matunda? Atafaulu kuchaguliwa kuwa msimamizi mpya wa ghala? Vijana waliotumwa kufanya utafiti maabarani watawafaa wanakijiji?

      “You may also like what the publisher says”[Story Moja]

       

      Kifunganjia by Daniel Okello
      This website uses cookies to improve your experience. By using this website you agree to our Data Protection Policy.
      Read more
      Open chat
      WhatsApp/Call