Kamusi ya Karne 21 by Longhorn (Toleo la 4) ni kamusi ya Kiswahili yenye uketo zaidi katika karne hii. Imetungwa kwa ustadi wa hali ya juu na wanaleksikografia wenye utaalamu na uzoefu wa uundaji wa kamusi. Ni kamusi inayojivunia upekee unaodhihirisha jinsi lugha ya Kiswahili inavyokwenda na wakati kwa kupanuka katika matumizi yake katika pembe zote za dunia.
Additionally, explore Shop more here
Toleo hili limeongezwa vidahizovipya zaidi ya 2500 ambavyo vinaashiria maendeleo mapya katika lugha ya Kiswahili. Kamusi hii inaonyesha ukuaji wa Kiswahili na matumizi yake katika nyanja zote za Siasa, Sayansi, Teknolojia ya kidijitali, mitandao ya kijamii, ubadilishanaji wa fedha na bidhaa kupitia kwa mifumo ya kimtandao miongoni mwa mengine.
You can also download the Karne 21 app
Also, you can shop for more JSS literature readers here
Reviews
There are no reviews yet.