Istilahi za Fasihi ya Kiswahili ni kitabu kil;ichoandikwa kwa ufasaha na wepesi ili kuondoa utata unaotokana na kutafsiriwa kwa istilahi za kiswahili kutoka lugha zalishi ya Kingereza
Pia, Maelezo mwafaka ya Istilahi mablimbali za fasihi simulizi na andishi yametolewa.
Kitabu hiki bila shaka ni mwandani aula wa wanafunzi, walimu na wahadhiri wa taaluma ya Fashi ya Kiswahili katika shule za Upili, vya Vyuo vya walimu na vyuo vikuu.
Reviews
There are no reviews yet.