Fastlane-books-logo
Shopping Cart

Gamba la Nyoka by E. Kezilahabi ni riwaya inayoonyesha jinsi maamuzi ya kisiasa yasiyotafakariwa yanavyoweza kuwa na athari mbaya kwa wanyonge na wakulima. Ni riwaya inayotashtiti sera zinaoongozwa na ubinafsi, kisasi na pupa ya utekelezaji. Hii ni riwaya inayotumia sitiari na taswira zenye uwezo mkubwa wa kuibua hisia kali na itakayozichokonoa fikira za msomaji hususan kwa namna inavyoupembua unafiki katika matendo ya waja. Hii ni mojawapo wa riwaya bora kabisa kuwahi kuandikwa katika fasihi ya Kiswahili.

You may also like

 

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Gamba la Nyoka by E. Kezilahabi”
Open chat
WhatsApp/Call
Gamba la Nyoka by E. Kezilahabi
Gamba la Nyoka by E. Kezilahabi
KSh 550.00
Rated 0 out of 5

In stock