Like us on Facebook and receive a 20% discount
Subscribe our newsletter and get unlimited profits
Be our regular customer to get personalized gifts
Like us on Facebook and receive a 20% discount
Subscribe our newsletter and get Book discounts
Be our regular customer to get personalized gifts

We ship packages within 24 hours of ordering

Free Shipping over Ksh 5000

Chozi la Heri by Assumpta Matei

KSh 499.00
Need Help Call/Whatsapp 0703292722

Attributes

Fasihi Tambuzi ya Kiafrika (FATAKI) Chozi la Heri “Mungu wangu! Huyu si ndugu yangu Mwaliko?” Umu alisema kimyakimya. Dick naye alikuwa kaghumiwa, hajui la kusema. Anamtazama mnuna wake kana kwamba ni Mr Super Man katika sinema pendwa za kijasiri. Wote wawili walitazarnana, kila mmoja akiapa moyoni kuwa amewahi kumwona kiumbe huyu mahali, lakini hakuna aliyethubutu kunena…

You may also like

Tag:
Categories:,
SKU:9789966068439

You may also like…

    You may also like…

      Chozi la Heri by Assumpta Matei ni Fasihi Tambuzi ya Kiafrika (FATAKI) Chozi la Heri “Mungu wangu! Huyu si ndugu yangu Mwaliko?” Umu alisema kimyakimya. Dick naye alikuwa kaghumiwa, hajui la kusema. Anamtazama mnuna wake kana kwamba ni Mr Super Man katika sinema pendwa za kijasiri.

      So, wote wawili walitazarnana, kila mmoja akiapa moyoni kuwa amewahi kumwona kiumbe huyu mahali, lakini hakuna aliyethubutu kunena. Tamaa ya kumiliki nyenzo za kujiinua kiuchumi na kisiasa, kama inavyodhihirika katika riwaya hii, inasambaratisha asasi za kijamii, pamoja na miundomsingi ya mshikamano wa kijamii. Maazimio yasiyofikiwa yanazua hali ya kuvunjikiwa—kihoro hasa.

      Also, lakini baada ya kiza kizito huja mawio ya uzawa wa jamii mpya yenye matumaini.  So, Assumpta K. Matei ni mtafiti na mwalimu mwenye tajiriba papa katika ufundishaji wa lugha na fasihi ya Kiswahili katika shule za upili na vyuo vikuu. Kati ya taasisi alizowahi kufundisha ni Kenya High School na Catholic University of Eastern Africa. Ameshiriki katika majopo mbalimbali ya ukuzaji, utekelezaji na tathmini ya mitaala.

      You may also like

      Also, you can explore more chozi la heri

       

      Chozi la Heri by Assumpta Matei
      This website uses cookies to improve your experience. By using this website you agree to our Data Protection Policy.
      Read more
      Open chat
      WhatsApp/Call