Chanzo cha Kiswahili Kitabu cha Kwanza kimekusudiwa kuunda msingi dhabiti wa lugha ya Kiswahili.Kimeandikwa kuambatana na mfumo mpya wa C.B.C Kwa kuzingatia silabasi ya mfumo huu.Pia kimenuia kuinua kiwango cha lugha Kwa kutumia mbinu za kusikiliza, kuongea, kusoma na kuandika.
Yaliyomo:
- Mazoezi ya kutosha.
- Hadithi fupi fupi .
- Picha za kuvutia.
- Msamiati wa kukuza lugha.
Reviews
There are no reviews yet.