Bembea ya Maisha by Timothy M. Arege ni hadithi kuhusu Yona na mkewe Sara pamoja na Bunju na mkewe Neema. Wahusika hawa wanajikuta katika vuta nikuvute inayochochewa na mitazamo ya kitamaduni, uhalisia wa mambo pamoja na matamanio ya wahusika binafsi.Baina yao kuna mitikiso inayotishia familia, ndoa na mahusiano ya kijamii…
Please also JSS reader’s literature here
– Langat Brian
Penda sana hiking kitabu
– Langat Brian
Penda sana hiki kitabu