Uteuzi wa Chale book by Asumpta Matei
KSh 550.00
Uteuzi wa Chale book by Asumpta Matei Uteuzi wa Chale ni kisa cha kusisimua kuhusu Chale, kijana anayejinyanyua kuvitambua vipawa alivyojaliwa na kuvikuza kwa manufaa ya jamii yake, licha ya vikwazo vinavyomkabili. Hadithi hii inampa msomaji fursa ya kujitambulisha na mazingira yake na kumpa stadi za kukabiliana na hali zinazomkumba. You may also like