Shetani Msalabani by Ngugi wa Thiongo
KSh 690.00
Shetani Msalabani by Ngugi wa Thiongo ni hadithi ya wazalendo wanne: Wariinga, msichana aliyenyanyaswa sana na vibaraka wa wabeberu; Wangari, mkulima mdogo aliyetaabishwa na mabepari; Muturi,mfanyi kazi mwerevu; na Gatuiria, kijana aliyeelimika sana. Wote wanasafiri kwa matatu ya jambazi moja linaloitwa Mwauraandu ambalo limeajiriwa na mabepari kutaabisha na kunyanyasa jamii. Vitabu vingine vinapatikana hapa