Sauti ya Umma by Okiya Omtatah
KSh 450.00
Sauti ya Umma by Okiya Omtata: Nasirumbi anakumbana na upinzani na ghadabu ya Nguvu za rungu la dola kwa kupinga unyakuzi wa msitu wa simbi. Ukiongozwa na Bosi, utawala wa kisiasa unafanya kila uwezalo kutimiza lengo lao la tamaa- kunyakua msitu wa simbi. Hata hivyo, utawala huo unalzimika kupambana na ukakamavu wa Nasirumbi, ambao ni jinamizi kwa Bosi na vibaraka wake You may also like