Mtoto wa Mama by Adam Shafi
KSh 649.00
Mtoto wa Mama ni riwaya inayotoa taswira ya maisha ya familia ya mzazi mmoja Zamda na mtoto wake, saburi. wote wamepotelewa, zamda na mume wake Sahuri na saburi na baba yake. Hawajui alipo. Hawajui kama yu hai au kafa. Walipojua, tayari jalala, mtawala mkuu wa nchi alikuwa tayari ammkuhukumu Shauri adhabu ya kifo kwa kunyongwa hadharani. Kabla ya hukumu hiyo kutekelezwa, shauri tayari kitanzi kimemzunguka rohonzi.