Msimu wa Vipepeo by K.W. Wamitila
KSh 699.00
Msimu wa Vipepeo by K.W. Wamitila ni riwaya inayosimulia hadothi ya wahusika ambao wamefanya maamuzi yanaathiri mkondo wa maisha yao kwa njia tofauti. kwanza kuna waziri mkurutu anayefurahi kuipanda ngazi ya maisha mapya katika awamu ya siasa ya utandawazi na mfumo wa soko huria. yupo Fabio Mkalla, mwanasheria mkuu, ambaye anaandamwa na asichokijua. kwa upande mwingine kuna Julia , Kanda na Ndumi wanaojikuta kwenye njia panda ya mkaso wa ‘Kipepeo’wapo melissa na Miranda, wanawake wanaojikuta katika jamii yenye mfumo unaokandamiza lakini wasiotaka kutiwa pingu na utamaduni na historia. You may also like