Isimujamii kwa Wanafunzi wa Kiswahili
KSh 999.00
Isimujamii kwa Wanafunzi wa Kiswahili ni kazi inayonuia kikidhi baadhi ya mahitaji ya kimsingi ya usomaji wa kiswahil katika shule za upili, vyuo vya ualimu, vyuo vikuu na taasisi zingine zinazoshughulika lugha na mawasiliano. Pamoja na kufundishwa katika viwango mbalimabli vya elimu, Isimujamii ni taaluma inayoonekana kuingiana na mahitaji ya taaluma zinazotumikiwa maarifa juu ya mfumo wa lugha. Isimujamii humulika jinsi vigezo mbalimabali vya kijamii vinavyoathiri matumizi ya lugha. You may also like