Chozi la Heri by Assumpta Matei
KSh 499.00
Fasihi Tambuzi ya Kiafrika (FATAKI) Chozi la Heri “Mungu wangu! Huyu si ndugu yangu Mwaliko?” Umu alisema kimyakimya. Dick naye alikuwa kaghumiwa, hajui la kusema. Anamtazama mnuna wake kana kwamba ni Mr Super Man katika sinema pendwa za kijasiri. Wote wawili walitazarnana, kila mmoja akiapa moyoni kuwa amewahi kumwona kiumbe huyu mahali, lakini hakuna aliyethubutu kunena… You may also like