Chanzo cha Kiswahili Kitabu cha Kwanza
KSh 400.00
Kitabu cha chanzo cha Kiswahili kimekusudiwa kuunda msingi dhabiti wa lugha ya Kiswahili.Kimeandikwa kuambatana na mfumo mpya wa C.B.C Kwa kuzingatia silabasi ya mfumo huu.Pia kimenuia kuinua kiwango cha lugha Kwa kutumia mbinu za kusikiliza, kuongea, kusoma na kuandika. More books from Smartzbrains