Education
KSh 1,199.00
TUKI Kamusi ya Kiswahili – Kiingereza; Kamusi ya Kiswahili – Kiingereza by Chuo Kikikuu cha Dar es Salam You may also like
KSh 999.00
Isimujamii kwa Wanafunzi wa Kiswahili ni kazi inayonuia kikidhi baadhi ya mahitaji ya kimsingi ya usomaji wa kiswahil katika shule za upili, vyuo vya ualimu, vyuo vikuu na taasisi zingine zinazoshughulika lugha na mawasiliano. Pamoja na kufundishwa katika viwango mbalimabli vya elimu, Isimujamii ni taaluma inayoonekana kuingiana na mahitaji ya taaluma zinazotumikiwa maarifa juu ya mfumo wa lugha. Isimujamii humulika jinsi vigezo mbalimabali vya kijamii vinavyoathiri matumizi ya lugha. You may also like
KSh 499.00
Tunu ya Ushairi by Oxford You May also like
KSh 3,250.00
Research Methods: Quantitative, Qualitative, and Mixed Approaches, 3rd ed. by Olive Mugenda and Abel Mugenda. This is a dynamic discipline significantly shaped by the swift advancement of technology. You may also like
KSh 3,250.00
Prof. O. Mugenda, an accomplished academician, was the vice chancellor of Kenyatta University from March 2006 to 2016 Find more from here on our site
KSh 649.00
Mtoto wa Mama ni riwaya inayotoa taswira ya maisha ya familia ya mzazi mmoja Zamda na mtoto wake, saburi. wote wamepotelewa, zamda na mume wake Sahuri na saburi na baba yake. Hawajui alipo. Hawajui kama yu hai au kafa. Walipojua, tayari jalala, mtawala mkuu wa nchi alikuwa tayari ammkuhukumu Shauri adhabu ya kifo kwa kunyongwa hadharani. Kabla ya hukumu hiyo kutekelezwa, shauri tayari kitanzi kimemzunguka rohonzi.
KSh 649.00
Mhanga Nafsi Yangu by Said A Mohamed Tamthilia nyinginezo
KSh 599.00
Nasikia Sauti ya Mama ni miongoni mwa waandishi arifu na ana umaarufu zaidi wa fasihi ya kiswahili waliowahi kuibuka katika Afrika mashariki na ya kati Vitabu vingine ni kama
KSh 800.00
The ‘A’ Finder Physics Revision book is available in all other subjects. 1. The ‘A’ Finder Mathematics Revision Book 2. The ‘A’ Finder English Paper I […]
KSh 499.00
Kidagaa Kimemwozea by Ken walibora You may also like
KSh 499.00
Artist of the Floating World by Kazuo Ishiguro reflects a picture of Masuji Ono, a painter, reflecting on how his life was impacted by the rise of Japanese militarism, which poses a threat to his peaceful retirement. Other Set books on this site can be found by clicking here.