Pacesetters and Thamthilia
KSh 730.00
I Will Marry When I Want by Ngugi wa Thiongo You may also like
KSh 699.00
Animal Farm by George Orwell You may also like
KSh 730.00
Son of Fate by John Kiriamiti You may also like
KSh 550.00
Gamba la Nyoka by E. Kezilahabi ni riwaya inayoonyesha jinsi maamuzi ya kisiasa yasiyotafakariwa yanavyoweza kuwa na athari mbaya kwa wanyonge na wakulima. Ni riwaya inayotashtiti sera zinaoongozwa na ubinafsi, kisasi na pupa ya utekelezaji. Hii ni riwaya inayotumia sitiari na taswira zenye uwezo mkubwa wa kuibua hisia kali na itakayozichokonoa fikira za msomaji hususan kwa namna inavyoupembua unafiki katika matendo ya waja. Hii ni mojawapo wa riwaya bora kabisa kuwahi kuandikwa katika fasihi ya Kiswahili. You may also like
KSh 690.00
"Things Fall Apart by Chinua Achebe" narrates two intertwined tales, both revolving around Okonkwo, a formidable figure in an Ibo village in Nigeria. The first story is a potent fable depicting the timeless conflict between the individual and society, tracing Okonkwo's decline within the tribal community. These seamlessly integrated narratives reflect a profound awareness that embraces the realms of nature, human history, and the enigmatic impulses of the soul. Here are other books by the same author
KSh 690.00
Arrow of God by Chinua Achebe is a man of the people However, his authority is starting to face growing challenges from tribal rivals, individuals within the white government, and even within his ranks. You may also like
KSh 550.00
Kigogo by Pauline Kea inamulika baadhi ya masuala yanayoibuka katika nchi zinazoendelea za Bara la Afrika. Huku wakazi wa Sagamoyo wakijiandaa kuadhimisha siku ya uhuru utakaosherehekewa kwa mwezi mmoja na kujivunia `maendeleo makuu; Soko la Chapakazi, ambalo ndilo tegemeo la wengi jimboni, linafungwa ghafla. Je, viongozi wamelifunga kwa nia gani? Wakazi wa Sagamoyo wanaolitegemea kujipa riziki watafanya nini? Tamthilia hii inatoa picha halisi ya nchi inayojivunia miaka mingi ya uhuru. Je, uhuru huo unamfaidi nani? You may also like
KSh 690.00
Shetani Msalabani by Ngugi wa Thiongo ni hadithi ya wazalendo wanne: Wariinga, msichana aliyenyanyaswa sana na vibaraka wa wabeberu; Wangari, mkulima mdogo aliyetaabishwa na mabepari; Muturi,mfanyi kazi mwerevu; na Gatuiria, kijana aliyeelimika sana. Wote wanasafiri kwa matatu ya jambazi moja linaloitwa Mwauraandu ambalo limeajiriwa na mabepari kutaabisha na kunyanyasa jamii. Vitabu vingine vinapatikana hapa
KSh 499.00
The Return of Mgofu by Francis Imbuga highlights the perplexing and recurring ethnic tensions and intolerance that impede peaceful coexistence among neighbors. It vividly exposes the severe consequences of such hostility, including underdevelopment, death, and widespread suffering.
You may also likeKSh 500.00
Rosa Mistika by E. Kezilabi You may also like
KSh 450.00
Kifunganjia ni tamthilia inayotoa taswira halisi ya masuala mbalimbali yanayozuia au kudidimiza harakati za maendeleo na ufanisi katika nchi zinazoendelea kukua kiuchumi. You may also like
KSh 599.00
Kikombe cha Ushindi by D.M Karoinge, uozo uliofunikiwa kwa miaka mingi ukitarajiwa kusahulika unazidi kunuka. Sasa wameamua kuuosha waanze upya. Mchezo uanze upya! kikombe cha ushindi kirejeshewe. You may also like